TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,442
- 8,695
Moja kwa moja tutembee kwenye mada
Hivi wanawake tuanze kuwahonga kima chachini Tsh ngapi kabla ujapata chochotee kutoka kwake maana waneweka pesa mbelee kuliko chochote
Unakuta unamtongoza bint siku yakwanza unamuomba next day mpate sehemu nzuri mtulie anakuja namarafiki zakee...
Then baada ya maongezi mafupii anawaombea pesa marafiki zake then mwisho wasiku anaomba yeye dah hii imenitokea juzi juzi tu ikabidi niwape wotee
Yani Kama ningekwenda pale sina pesa ningeingia aibu ya karnee