Kiki ni GIGI bonge la ngoma, nmekuelewa GIGI MONEY!

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,369
1,169

Mimi si shabiki wa skendo zako ila ni shabiki mkubwa wa mziki mzuri kitu ambacho umefanya kwenye wimbo huu congratulations kwa kweli!.

Bonge la trap, hakika umeitendea haki beat umebadilika na kwetu mashabiki imekua kama suprize kwamba sio kuimba tu kumbe hata ku rap unaweza. Kwa ngoma hii naweza sema Nick Minaj wa bongo amezaliwa.

Let's enjoy the good music guyz!
 
Hulali

Kama mi nimelala vile,hahah

Ntaisikiza kesho mana hapa nikiiplay naweza pigwa Kofi,,usingz umekata bosi kalala
 
Mimi si shabiki wa skendo zako ila ni shabiki mkubwa wa mziki mzuri kitu ambacho umefanya kwenye wimbo huu congratulations kwa kweli!.

Bonge la trap, hakika umeitendea haki beat umebadilika na kwetu mashabiki imekua kama suprize kwamba sio kuimba tu kumbe hata ku rap unaweza. Kwa ngoma hii naweza sema Nick Minaj wa bongo amezaliwa.

Let's enjoy the good music guyz!

Trap ni mtego, je wimbo huu unatega nini?
 
Usirudie tena kumfananisha Nick Minaj na vitu vya kipumbavu.
 
Trap ni mtego, je wimbo huu unatega nini?
Trapping ni kukaa kona na kuuza madawa ya kulevya, bootlegging, hata mademu kutega kona. Yaani kukaa kona na kuuza bidhaa haramu hasahasa drugs.
Kwa hiyo ni kama unawawekea mtego mateja kwenye kona au trap house. Kwa sababu hiphop ni mziki uliojengwa na hela za trap, hasa down south wakaanzisha beats zao wanazopenda kuzisikia kwenye clubs au strip clubs.
Ukapewa jina "Trap Muzik" au "Trap" ... hasa na T.I.
 
Back
Top Bottom