utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Natoa angalizo tu asaiv ukihitaj Kiki kipind hiki lazima uongee na pierre mlamba alolo konki liquid mama nakufa itabaki kuwa juu. ..Ati nin
bila hivo utasubiri sana mana ndo aliyeshika hili jiji mana naona kada mwenzangu kaona sio tabu acha nitokee kupitia huyu bwana mana asaiv ni miezi mitatu ndo anaongoza upepo wa jiji uende vip full vituko mpaka joti,bwana mjeshi, tatu mtigita, ebitoke na mwalubadu wanawaza wamtaje ndo ngoma iende insta....
aisee pierre mimi ni mmoja wa watu ambao wanayatafuta maisha kwa nguvu zote na kufika hata ulipofika mpaka makamu wa rais kulitaja jina pale ikulu kuwa na Legacy fulan hiyo inatosha sana hata ukifa leo ushaandikwa Wikipedia tayar nikienda google naukuta wasifu wako ko umemaliza zaidi piga kazi kumalizia gap lililobak kaka mungu akusimamie
Sent using Jamii Forums mobile app