Kikatiba, Urais wa Tanzania ni miaka mitano (5)

Rais aliyepo anaweza kutokuwa na tatizo la kukaa Ikulu kipindi kimoja tu. katiba inampa privilege nyingi akiacha hicho cheo. Wenye matatizo na miaka 5 ni wateuliwa na wapambe wake ambao wanaona akiondoka mapema watakuwa hawajafaidi vzr madaraka na marupurupu ya serikali kwani atakaye kuja hawana uhakika atakuja na timu ya watu gani.
Ndo maana unaona mishipa ya shingo inawatoka wakiongea kumpigania rais aliyepo asiondoke. Usifikiri wanamfikiria rais, wanajifikiria wao na familia zao -in short - wanafikiria matumbo yao. Eti fulani anamvuruga rais kisa anataka kugombea urais. Maranyingi rais akivurugwa wala hasubiri bashiru au polepole au musiba aongee, yeye palepale anashughurika na mvurugaji na hiyo tumeshuhudia maranyingi. Hiyo style yenu ya jogoo ya kujifanya anauma kichwa cha kuku wakati malengo yake yako mkiani hatutaki, mnatupigia kelele wananchi.
 
Nimekuelewa
 
Kwa hiyo ni Ruksa na Haki ya kikatiba kwa Membe kugobea kiti cha Urais 2020.
Na anayempinga ndiye anayevunja maamuzi halali ya katiba ya Nchi.
 
Unatana vita na waunga mkono wafia tumbo,walala kwa mashemeji, mr funeral, wana mikopo bank hapa awakuelewi
 

Nimeachwa hewani kwenye neno assume katika mada husika, naomba kueleweshwa vema

assume

IPA: /əˈsjuːm/, əsjuːm; Type: verb;

-aza

{ verb }

-dhani

{ verb }

kuwaza, kufikiri

-nuia

{ verb }

-waza

{ verb }

To authenticate by means of belief; to surmise; to suppose to be true, especially without proof.
 
Mkuu, hapo assume lina maana ya kushika/kuanza kuwa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…