PUSHKIN 2000
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 362
- 176
hata wewe unaukana uchadema leo kaka?Mkuu, ondoa fikra zako finyu kuwa kila mwanaJF ni aidha CCM au CHADEMA. Tupo wengi tu tusio na vyama humu.
hata wewe unaukana uchadema leo kaka?Mkuu, ondoa fikra zako finyu kuwa kila mwanaJF ni aidha CCM au CHADEMA. Tupo wengi tu tusio na vyama humu.
Niliupata lini?hata wewe unaukana uchadema leo kaka?
Nafukua...
CHADEMA inatoka wapi hapa? Mwandishi hapa, wakili msomi, ni mkuu wa wilaya mtarajiwa!CHADEMA leo mmetoa mpya gani kwenye KAMKUTANO KENU....Hatuwaelewi sasa hivi nini mnasimamia...?
NimekuelewaRais aliyepo anaweza kutokuwa na tatizo la kukaa Ikulu kipindi kimoja tu. katiba inampa privilege nyingi akiacha hicho cheo. Wenye matatizo na miaka 5 ni wateuliwa na wapambe wake ambao wanaona akiondoka mapema watakuwa hawajafaidi vzr madaraka na marupurupu ya serikali kwani atakaye kuja hawana uhakika atakuja na timu ya watu gani.
Ndo maana unaona mishipa ya shingo inawatoka wakiongea kumpigania rais aliyepo asiondoke. Usifikiri wanamfikiria rais, wanajifikiria wao na familia zao -in short - wanafikiria matumbo yao. Eti fulani anamvuruga rais kisa anataka kugombea urais. Maranyingi rais akivurugwa wala hasubiri bashiru au polepole au musiba aongee, yeye palepale anashughurika na mvurugaji na hiyo tumeshuhudia maranyingi. Hiyo style yenu ya jogoo ya kujifanya anauma kichwa cha kuku wakati malengo yake yako mkiani hatutaki, mnatupigia kelele wananchi.
Du! Ha ha ha ha haCHADEMA inatoka wapi hapa? Mwandishi hapa, wakili msomi, ni mkuu wa wilaya mtarajiwa!
Hata hicho ni chama cha wasiyo na vyama!Mkuu, ondoa fikra zako finyu kuwa kila mwanaJF ni aidha CCM au CHADEMA. Tupo wengi tu tusio na vyama humu.
Hata hicho ni chama cha wasiyo na vyama!Mkuu, ondoa fikra zako finyu kuwa kila mwanaJF ni aidha CCM au CHADEMA. Tupo wengi tu tusio na vyama humu.
Rais aliyepo anaweza kutokuwa na tatizo la kukaa Ikulu kipindi kimoja tu. katiba inampa privilege nyingi akiacha hicho cheo. Wenye matatizo na miaka 5 ni wateuliwa na wapambe wake ambao wanaona akiondoka mapema watakuwa hawajafaidi vzr madaraka na marupurupu ya serikali kwani atakaye kuja hawana uhakika atakuja na timu ya watu gani.
Ndo maana unaona mishipa ya shingo inawatoka wakiongea kumpigania rais aliyepo asiondoke. Usifikiri wanamfikiria rais, wanajifikiria wao na familia zao -in short - wanafikiria matumbo yao. Eti fulani anamvuruga rais kisa anataka kugombea urais. Maranyingi rais akivurugwa wala hasubiri bashiru au polepole au musiba aongee, yeye palepale anashughurika na mvurugaji na hiyo tumeshuhudia maranyingi. Hiyo style yenu ya jogoo ya kujifanya anauma kichwa cha kuku wakati malengo yake yako mkiani hatutaki, mnatupigia kelele wananchi.
2020 ni MembeMh Bernad Camilius Membe sio mchezo hata kidogo
"HERI HAYA KULIKO HAYO!"
42.-(1) The President elect shall assume office of President as soon as
possible after it is declared that he has been elected President, but in any event he
shall assume office before the expiration of not more than seven days.
Ibara ya 42 (2):
(2) Unless he sooner resigns or dies, the President shall, subject to sub
Mkuu, hapo assume lina maana ya kushika/kuanza kuwa madarakani.Nimeachwa hewani kwenye neno assume katika mada husika, naomba kueleweshwa vema
assume
IPA: /əˈsjuːm/, əsjuːm; Type: verb;
-aza
{ verb }
-dhani
{ verb }
kuwaza, kufikiri
-nuia
{ verb }
-waza
{ verb }
To authenticate by means of belief; to surmise; to suppose to be true, especially without proof.