Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
teh teh wananzengo hao, hawanaga neno na mtu mpaka uwatibueNikikutana nao hawa nazimia kabla hawajafanya kazi yao
Mkuu sidhani maana mchawi hana ubaya hata Kama hujamchokoza akijisikia kukuwangia anakuwangia tu unaweza kukuta hapo wapo nje ya nyumba ya mtu wanafanya yao.teh teh wananzengo hao, hawanaga neno na mtu mpaka uwatibue
Nikikutana nao hawa nazimia kabla hawajafanya kazi yao
Ni ngumu kujikaza naweza kufa bora nipige keleleUnapita tu kama hujawaona vile
Ni ngumu kujikaza naweza kufa bora nipige kelele
Unaona mapaka kama mimi!!!!Mimi naona mapaka kama yale ya pale kwa yule bi nyau magomeni makanya(RIP)
Sasa inakuwaje watu wanajadili uchawi au wao wameona nini? Inawezekana hata kwa yule bibi walikuwa wanaona tofauti na Mimi
Nisaidieni mnachoona ni nini
Baada ya huyo bibi kufa mpaka leo hayo mapaka bado yapo??Mimi naona mapaka kama yale ya pale kwa yule bi nyau magomeni makanya(RIP)
Sasa inakuwaje watu wanajadili uchawi au wao wameona nini? Inawezekana hata kwa yule bibi walikuwa wanaona tofauti na Mimi
Nisaidieni mnachoona ni nini
Karibu kikaoni mkuuFunny.,......
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
I'm not a nyauKaribu kikaoni mkuu