kikao kamati kuu ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kikao kamati kuu ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kisururu, May 1, 2011.

 1. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hello members,
  Jamani kama kuna mtu anataarifa yeyote cha kilichojiri kwenye kikao hicho naomba updates
   
 2. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utapata kwa wale watakuwa na taarifa hiyo.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Wanaogopa JF watawakosoa!!!
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Magamba mazito hadi taarifa hazitoki
   
 5. Abbasy

  Abbasy Senior Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  katika kujivua magamba wameona wameumia sana vdonda haviponi ss wanakaa kujiuliza hii njia cyo salama CCM mna kazi mtakaa mpaka makalio yaote sugu
   
 6. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwanza mkakati wa kutitangaza kuwa wamevua magamba umeshindwa kuwasafisha wamezunguka kwenye ngome zao wamekwama.mbona awaendi walikopita cdm
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkakati wowote unapojengwa juu ya msingi wa majungu na bila utafiti wa kisayansi huru, kama nyumba tu za mabua malishoni, ni sharti kufeli na kusambaratika ndani ya kipindi kifupi sana hata kabla ya kuanza.

  Hayo mambo ya CCM wala yasiwaumize kichwa maana ghiliba zao zooooooooooote sisi Nguvu ya Umma tunaendelea tu kuwasoma akili yao kabla ya kujitokeza jumla kwenda kuwashika kule kusiko, nafuu wao wanafahamu sana hilo!!!!!!!!!!!
   
Loading...