Kivipi mkuu nishauri
Kwani hilo lawaza kuwa tatizo?Jitibu kwanza tatizo lako la nguvu zakiume
Sasa sikia..hakuna, nasema hakuna mkamilifu dunia hii labda uende pluto kama wanaishi viumbe huko. We tafuta ambaye 'angalau' ....! Lkn eti awe ana akili halafu awe na shepu hapo hapo...aah ndg huyo utamtafuta kwa tochi. Huku mjini waliopo ni wenye shepu kichwani ziro...hlf wapo wenye akili lkn hawana shepu...hapo amua mwenyewe unataka nini?Ukisoma vizuri...tatizo langu ni uchaguzi kupitiliza
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji38]nmekuita uone ugonjwa wake nae ni figure matata[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hapa parefu sipawezi. Labda watu wa Saikolojia wanaweza kusaidia. Kwa nini umeniita Goddess? Kumbe na wewe mkorofi eeeh!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa sikia..hakuna, nasema hakuna mkamilifu dunia hii labda uende pluto kama wanaishi viumbe huko. We tafuta ambaye 'angalau' ....! Lkn eti awe ana akili halafu awe na shepu hapo hapo...aah ndg huyo utamtafuta kwa tochi. Huku mjini waliopo ni wenye shepu kichwani ziro...hlf wapo wenye akili lkn hawana shepu...hapo amua mwenyewe unataka nini?