Wadau Nina swali. Leo mkuu wa kitengo katuma sms whaatsap kuwa kutakuwa na kikao ila kwa ambao hawajahudhuria ametoa amri waandikiwe barua ya onyo. Je ni sahihi
Inategemea upo ofisi gani na mode of communication ya ofisi yako ipoje. Kama whatsapp group ya ofisi ndio agreed mode of communication ni sahihi kabisa ila kama communication mnafanya kwa internal memo haitakua sawa ni uonevu