Kikao cha nywele za mwilini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao cha nywele za mwilini!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by XOXOQY, Mar 3, 2011.

 1. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Baada ya malalamiko mengi yaliokuwa yanatolewa na nywele za mwilini nywele za kichwani zikaitisha kikao cha nywele zote mwilini kusikiliza malalamiko yao.NYWELE ZA KWAPANI-mweshimiwa mm nashangaa had leo sijapewa jina maalumu kama mwenzangu masharubu a.k.a timberland.NYWELE ZA KIDEVUN-mheshmiwa mimi nashangaa wenzangu mustach,garden lov na timberland wana majina mazuri kabisa mimi naishia kuitwa jina la kizaramo eti "mzuzu".GARDEN LOVE-mheshmwa mm naomba nianze kunyolewa ktk staili mbalimbali kama wewe et mara unaiwa kiduku,mara panki,mara kisahani,mara afro mara kijogoo,ikafka zamu ya MA***UZI-unajua mi nawashangaa sana nyny mbona mnareta usharobaro lakn hivi sisi ambao majina ye2 hayatamkwi hadharani 2semaje?afu wewe nyele ya kwapa unaondolewa harufumbaya na mapafyum ya gharama mim huku nilipo nanusa harufu mbaya ucombe,afu ww mzuzu acha kudeka full tim unaota jua huko wakat mm ma**uzi naachwa wazi 4 emergence tu hebu achen zenu!
   
 2. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mmmh,vp kuhusu nywele za ugoko na matakoni hazikwenda ama hazikualikwa?
   
 3. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nimekubali ila sijui kikao kilifanyikia wapi? kilikuwa tough
   
 4. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ma**zi yana majina mengi wengine huyaita CHAKA DEMUS
   
 5. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hicho kikao kilikuwa nomaeee!
   
 6. Garmii

  Garmii Senior Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeuwa mbaya mwana.
   
 7. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hapa mi mgeni
   
 8. c

  chetuntu R I P

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmhh me napita !!
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kweli za kwapa ziache kuchonga. Mavuz.i yana hali mbaya pamoja na jirani zake
   
 10. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha hahaaaaaaaaaaaaaaa uwi mbavu zangu we Raia fulani bana teh teh teh lol
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Ina maana hcho kikao MAKATAMAVI hayakualikwa?
   
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha jamani nywele zinafanya kikao!!Hii ni balaa
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahaah! Watu mna vituko!
   
Loading...