Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 961
Amesema bachala so wewe double tuliahiyo ni dalili ya mtu...asiye jipenda....huwezi kufanya usafi eti kwaajili ya kumpendezesha mtu...!
Nyie wanume mnaojiita Prince mnakuaga na hormone za kikehiyo ni dalili ya mtu...asiye jipenda....huwezi kufanya usafi eti kwaajili ya kumpendezesha mtu...!
Tafadhali edit ulichokiandika ndo tuendeleeMambo hayo ndo yakujadili watu wazima wenye akili zenu?
Mchafu koge we
Nyie wanume mnaojiita Prince mnakuaga na hormone za kike
Nimefeli vigezo vya ubachela wallahNawasilisha kama tulivyokubaliana kwenye azimio la hivi karibuni kwamba uvunguni mwa kitanda ndo stoo. Pia sheria za kufanya usafi ni mpaka pawe na appointment, kuosha vyombo siku ya kupika n.k hizo sheria zimebaki vilevile.
..........
Kupika lazma uanze kuosha vyombo vya jana kwanza😁Bachelor mie Leo nalala njaa wakati kitchen kuna mchele,unga,mayai,nyanya,vitunguu mafuta nk.Ila kwenda kupika ndo mtihani!!!