Kikao cha kamati ya uratibu wa kanda na uzinduzi wa kanda ya kaskazini




Kumbuka ni mkakati wa chama kupambana na magamba.Halafu fahamu kwamba chama kama CDM hakina fedha za kutosha kuendesha chama,hivyo ni vizuri ile hela igawanywe kidogo katika kanda ili isaidie kuwafuata wananchi hadi vijijini.Yaani hapo ni kwamba adui ameanza kupigwa toka chini,unapofika katikati ,ni kumalizia tu,kwani unakuwa uliishamzunguka siku nyingi.Mkakati huu ukisimamiwa vizuri 2015, CCM watakua hoi hoi bin taabani.
 
Asante Mr. Able kwa clip uliyo iweka hapa imejibu maswali yangu.
 
Last edited by a moderator:

Mbona magamba mnaweweseka sasa! Kama hii kitu wananchi hawaitaki, watakaopata hasara si CDM! Mmeanza lini kuwaonea huruma CDM! Nyie tulieni tu mnyolewe, hii kitu ndo imeshanyanyuka hivyo! Ikirudi imeshafanya maangamizi.
 
Kwanza kabisa naomba nikuweke sawa kwenye jambo moja tuu Mbowe siyo mwenye chama na cdm kama chama ni chama cha kila alie mwana chama mshabiki ndiyo maana unaona mtu anahama anatoka Cdm anaenda magamba cdm inabakia palepale hivyo cdm haina mwenyewe.

Chama ni cha Freeman Aikael Mbowe na Baba Mkwe wake Mzee Edwin Mtei hao ndio shareholder wakuu wa Chadema!
 
" No great battles are ever won on the defensive" by Napoleon...Nimeipenda sana strategies za CDM! Msemo wa kijeshi huwa tunaita Counterattack! Speed n manouver!...Adui huwa anapata kizunguzungu asijue apumulie wapi...Fahamu zikiwarudia wanajikuta wakinyoosha mikono juu 2015 huku wakiomba wasiminywe korodani...Kudos CDM, Hivi ndivyo ambavyo Best Leaders wanavyoongoza kwa kutimiza kile walichokipanga kwa wakati muafaka... Angalizo ni kwa wajumbe wahakikishe kuwa wanapata viongozi wenye ushawishi mkubwa katika kila kanda. Kama alivyosema GT mmoja hapo juu, CCM wasipate hata Mbuge wa Mbegu coming 2015...Mungu awabariki makamanda wote katika kufanikisha jambo hili muhimu sana kwa ustawi wa Taifa letu...
 
Kamanda TUKO legeza msimamo wako kidogo ili mfikie muwafaka na wanajavi wengine waweze kuelewa hili somo vizuri tafadhali.
kati ya mistakes kubwa itakayotufanya tupigwe mabao, ni kupeleka wachezaji wote mbele tukasahau kuwa tunatakiwa tuimarishe beki saa zote. Cdm tusikimbilie kuemplement mashambulizi peke yake, tuangalie pia namna ya kumzuia adui yetu ccm...
 

Watu wengine bwana, ina maana wewe ndiyo msemaji wao? Kwani wao hawana midomo? Acha chama kifanye kazi, kama yanawauma tapikeni kwani lazima usome na kuchangia?
 

Mkuu Mr ABLE kuna mabadiliko kidogo yalifanyika na Tanga ipo Kaskazini
 
Last edited by a moderator:
Crashwise,
Sina matatizo na CHADEMA kupendekeza kuigawa nchi kwenye kanda maana lipo chini ya uwezo wao kama chama cha siasa. LAKINI kuanza kuigawa nchi kwenye kanda wakiwa Dar bila kuwauliza hao wananchi wanataka kuwa kwenye kanda ipi ni top down approach ambayo kwenye hoja yao hiyo hiyo wanaipinga.

Ni nani kawaambia Tanga iwe Kaskazini na sio Mashariki? Ni nani kataka mkoa fulani uwe kanda hii na wala sio ile nyingine?

Hapa mnachinganya mno, hiyo sio decentralized approach na badala yake mnarudi kule kule kwenye centralized approach.

Mungewaacha wananchi wa mikoa husika waamue wanataka kuwa kwenye kanda zipi. Haya mambo ya watu 20 wakiwa wamekaa Dar kuwaamulia mamilioni ya wananchi mikoani ndiyo hayo hayo ambayo CCM wanalaumiwa.

 
Kwani thread ni ya Mods? niambie wapi haieleweki kama ni kulekebisha ni lekebishe...
Labda nimsaidie kidogo,ingependeza kama heading ingekuwa " UZINDUZI WA JIMBO KUU LA CHADEMA" ingeleta maana zaidi.

 

Wanachokifanya wazee wa Mapande ni kuhamisha manyang'au wa ulaji kutoka Makao Makuu kwenda kwenye Pande moja na obviously watakaoteuliwa kuwa waratibu wa hayo Mapande si wengine bali ni wale waliokuwa wakishinda Makao Makuu ya Kinondoni huku wakiwa wamejibana na mishipi ya Magwanda. Hii ni kwa sababu kwa mfumo uliyopo ni vigumu kupata mtu au watu watakaokubalika katika mikoa yote inayounda Pande husika.
 
Mwambie Matelephone ile kanzu vipi?? Nataka mbili kama zile, namkubali sana huyu Kamanda.


Kamanda usihofu ni takutana na kikiosi kazi nitamwambia Makamanda wa sakina tumepanga kuvunja rekodi!!!!

...inaitwa...
AMSHA AMSHA.... jomba...!!!!
 
Ingekuwa kuna dalili ya chadema kushinda uchaguzi katika miaka 15 ijayo ningejishughulisha na mfumo wao wa utawala. Mfumo huu una mapungufu mengi mno. Lakini kwa vile ni mfumo wao wenyewe kwa wenyewe (kama jinsi wanavyokopeshana pesa za michango ya wanachama kwa matumizi ya kimapenzi) siumizi vidole vyangu kuelaborate essential caveats.
 
hivi tangu lini ccm wakawa washauri wa chadema..maana naona wamekomaa kweli kutushauri kafieni mbali hatuhitaji ushauri wenu wa kipumbavu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…