Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,747
- 22,458
Kikao cha Kamati Kuu kimesogezwa mbele hadi saa 6 mchana. Ni kwa sababu ya masuala ya hila zinazoendelea kwenye suala la uchaguzi wa Umeya Jiji la Dar es Salaam.
Asubuhi hii viongozi wakuu wamelazimika kuanzia Central Police ambako Mbunge Halima Mdee na Madiwani wawili na kamanda wetu mmoja wanaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi huku wakimhitaji Mbunge Saed Kubenea naye afike polisi.
Tutakuwa na media briefing kabla ya kikao cha Kamati Kuu ambapo masuala yote haya ya umeya yatazungumzwa. Saa sita mchana.