kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
Ukisikia kususwa ndo huku yaani ccm leo wamepata aibu ya mwaka kuna magari yalipita yakizoa watu wakiahidiwa chakula bure kuanzia kikatiti hadi kisongo
Cha ajabu wazee tu tena wamebebwa kule meru tengeru nimejikuta nachekaaa
Inamaana arusha hakuna vijana ccm?Asilimia 95 ya waliohudhuria ni wazee
Kingine nilichoshangaa ni mabus yaliyowarudisha nayo wanachama ni mabus ya miaka ya 50's sijui wameyatoa wapi
Halaf ccm arusha huu mchezo wenu wa kushusha bendera za chadema usiku na kupandisha za ccm haukubaliki....
Nimeamini ccm arusha ni kaskazini nzima ni watu wa kuforce tu mambo bila polisi na madc na wakuregenzi hamna lolote mmesuswa