Kijogoo anayewika kwa jazba

basi niseme kwamba nimekosea kujibu ama kuingia kwneye huu uzi.
myself nimeandika kama tu mtu anayechangia uzi na nimejibu kitendawili kwa njia ya kisanifu ila kama umekwazika am sorry and gone forever!!!!!!!!
bye
 
Niliposoma hii therad na ile ingine kule yenye kuongelea kijogoo nimetoka kapa na sijaelewa moja wala hamsini na moja ila imenikumbusha wimbo wa zamani unaimbwa hivi;

bibi na bwana wakigombana nyumbani
huacha wenyewe hata wakaelewana
lakini ukiwaingilia utabaki ...............................(mama watoto)


haya wakipatana heri maana uzo unaongezeka kwa sasa wacha tukalime ili wakipatana tunavuna tunakula pamoja sio kama ile ya lady jaydee ya upepo hasira na kupanda mpande wote kuvuna uvute kwako looh
 
usijali my dia nilikuwa sijakuelewa bestito usikimbie kiivyo
bado nahitaji ushauri wako best kwani nyie ndo marafiki zangu
wa ukweli pale mwenzio unaona anaumia unamtia moyo wala
sijakwazika nilifikiri kuwa kuna mtu umemdhani humu mjengoni
bestito wakaribishwa sana best nakupenda
basi niseme kwamba nimekosea kujibu ama kuingia kwneye huu uzi.
myself nimeandika kama tu mtu anayechangia uzi na nimejibu kitendawili kwa njia ya kisanifu ila kama umekwazika am sorry and gone forever!!!!!!!!
bye
 
Hahaha...

Si ujumbe ulishafikishwa kwa wahusika ndio maana mlango ukafungwa...

Wenye macho na akili za kuelewa ujumbe ushawafikia...

....
Mmmmmh!
Haya ya ngoswe, mi nakusalimia kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…