Z ZAMUNDA MSURWA New Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Aug 4, 2014 #1 Wana Kijiji cha Kiwangwa Bagamoyo ,tunaonja joto ya jiwe baada ya viongozi wetu kugeuka madalali wa ardhi.
Wana Kijiji cha Kiwangwa Bagamoyo ,tunaonja joto ya jiwe baada ya viongozi wetu kugeuka madalali wa ardhi.
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Aug 4, 2014 #2 Wafanye nini wakati serikali yao haiwalipi?
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,553 Aug 4, 2014 #3 Na wewe kuwa .dalali.ili msaidiane kuuza
killuminat JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 209 Reaction score 105 Aug 4, 2014 #4 askwambie mtu udalali unalipa asee