Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
We mkal,uyo mgombea atakuwa wa chama cha majambazi
Kuna shule pia hapo singida inaitwa senge
Kuna shule pia hapo singida inaitwa senge
Mgombea alienda katika kampeni za Uchaguzi kwenye Kijiji cha SENGE mkoani Ruvuma.
Salamu ikawa hivi:
"Mwenyekiti na Katibu wa SENGE.............. ............... .
Ndugu Wananchi wa SENGE.......... ............... ......
... Vijana,Wazee na Watoto wooote wa SENGE.......... ..........
Mabibi na Mabwana wa SENGE.
Habari zenu.."
#Watu Kimyaaaaaaaa..
Akaendelea,"wa SENGE Oyyeee!"
Wananchi,"Mwenyeweeeeeeeeee"..!
ya singida inaitwa SINGE
kaka pale lushoto kuna shule ya msingi inaitwa mbula kwa wachaga si shughuli hiyoMgombea alienda katika kampeni za Uchaguzi kwenye Kijiji cha SENGE mkoani Ruvuma.
Salamu ikawa hivi:
"Mwenyekiti na Katibu wa SENGE.............. ............... .
Ndugu Wananchi wa SENGE.......... ............... ......
... Vijana,Wazee na Watoto wooote wa SENGE.......... ..........
Mabibi na Mabwana wa SENGE.
Habari zenu.."
#Watu Kimyaaaaaaaa..
Akaendelea,"wa SENGE Oyyeee!"
Wananchi,"Mwenyeweeeeeeeeee"..!
Tabora, wilaya ya nzega kunashule ya msingi inaitwa jina hilo, hiyo shule ipo karibu na kijiji kinaitwa mwamala.
Wana JFwa Senge mpooo!! Oh sry namanisha mliotokea kijiji cha senge, teh teh.