Nyakarungu JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 472 Reaction score 377 Nov 13, 2016 #1 Wakuu kwenye eneo aniuzie linalofaa kwa kuchimba kisima cha maji ya biashara Ili niuzie wakazi, eneo lenye shida ya maji hasa0754459572
Wakuu kwenye eneo aniuzie linalofaa kwa kuchimba kisima cha maji ya biashara Ili niuzie wakazi, eneo lenye shida ya maji hasa0754459572
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,337 Nov 13, 2016 #2 hongera kwa wazo lako.. ila biashara ya maji sio rahisi kabisa.. kwanza maeneo yenye maji mazuri ardhini unakuta kila nyumba ya mwenye uwezo inajichimbia kisima na kuuza maji.. so ushindani mkubwa.. na eneo lenye maji ya chumvi ndio kuna faida ila lazima ufunge mtambo wa kuchuja chumvi ukitaka kufanya serious business
hongera kwa wazo lako.. ila biashara ya maji sio rahisi kabisa.. kwanza maeneo yenye maji mazuri ardhini unakuta kila nyumba ya mwenye uwezo inajichimbia kisima na kuuza maji.. so ushindani mkubwa.. na eneo lenye maji ya chumvi ndio kuna faida ila lazima ufunge mtambo wa kuchuja chumvi ukitaka kufanya serious business
E EVIGT JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 526 Reaction score 429 Nov 13, 2016 #3 Kama unaweza kuingua ubia uchimbe kwangu tugawane mapato,eneo lipo buyuni kata ya chanika,
E EVIGT JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 526 Reaction score 429 Nov 13, 2016 #4 Kama unaweza kuingua ubia uchimbe kwangu tugawane mapato,eneo lipo buyuni kata ya chanika,