G-less Antonopoulos
Member
- Sep 12, 2018
- 34
- 27
Kitaliano mswahili hawezi kusoma kama ilivoandikwa lakini Kijeruman unaweza.Tumekusikia. Nakubaliana nawe kwa mengi isipokuwa kuwa lugha rahisi. Kijerumani ni lugha ya kiume lakini hufi njaa ukiifahamu. Ni lugha ya fedha. Lugha rahisi ulaya ni kiitaliano. Ni kama kiswahili tu.
Kwa bahati kihispain sikijui lakini marafiki zangu wengi wanazungumza kwaiyo huezi kunidanganya ,bado mspain hawezi kutoa lafudhi ya kiswahili kama utakavompa mjerumaniKwanza inawezekana wewe unafahamu kijerumani,lakini katika lugha rahisi sana kusomekana na inayofanana katika kusoma maandishi yake kama yalivyo au kama yalivyoandikwa ni lugha ya kihispani,...
Ni lazima ukaze koo. La sivyo matamshi yako hayataeleweka. Ndiyo maana inaitwa lugha ya kiume. Kiswahili,Kiarabu, na kiitaliano ni lugha laini.Kitaliano mswahili hawezi kusoma kama ilivoandikwa lakini kijeruman unaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya utafiti wa harakakabisa,mchukue mhispania,muandikie kiswahili halafu mwambie asome kama ulivyoandika,halafu mchukue mjerumani muandikie kiswahili halafu mwammbie asome kama ulivyoandika, utakuja kuniambia.Kwa bahati kihispain sikijui lakini marafiki zangu wengi wanazungumza kwaiyo huezi kunidanganya ,bado mspain hawezi kutoa lafudhi ya kiswahili kama utakavompa mjerumani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa, hata hii lugha siyo ngumu, ndugu yake muhispania kabisa, hawa ni damu damu.Tumekusikia. Nakubaliana nawe kwa mengi isipokuwa kuwa lugha rahisi. Kijerumani ni lugha ya kiume lakini hufi njaa ukiifahamu. Ni lugha ya fedha. Lugha rahisi ulaya ni kiitaliano. Ni kama kiswahili tu.
Lugha unaweza kujua maamkiz na maongez muhimu kama hayo Ila haimaanishi n fundiFanya utafiti wa harakakabisa,mchukue mhispania,muandikie kiswahili halafu mwambie asome kama ulivyoandika,halafu mchukue mjerumani muandikie kiswahili halafu mwammbie asome kama ulivyoandika,utakuja kuniambia,
Usitumie marafiki sana katika tafiti za lugha jitumie mwenyewe,na kwa kuwa wewe ni muongoz wageni, bado siwezi amni kama hujui chochote hata salamu tu ya lugha ya kispania labda kama hujawahi kukuitana kabisa na hizo sura za waspania,
Hoja kubwa hapa hatujadili ufundi wa lugha,kwa sababu hata ingawa sisi tumezaliwa katika jamii ya wazungumzaji wa kiswahili lakini bado mfundi wa kiswahili ni wa kutafuta sana, hapa tunazungumzia urahisi wa lugha na lugha gani ambayo ni rahisi na yenye kufanania na kiswahili.Lugha unaweza kujua maamkiz na maongez muhimu kama hayo Ila haimaanishi n fundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Spanish ni rahis sana, niliwahi kuanafatlia tamthilia flani ilikua nawamexico na waamerica weusi walikua wakitumia sana espanol, adi kuimaliza nilikua nimepata mawili matatu kama gringo na pandejo[emoji23][emoji23]Sawa kabisa, hata hii lugha siyo ngumu, ndugu yake muhispania kabisa, hawa ni damu damu.
HOLA(hola)Idd Ninga na G-less Antonopoulos , kila mtu aweke sentensi Kama 5 hivi (za kihispania na kijerumani, pia kwenye mabano jinsi ya zinavyotamkwa),wasomaji waamue wenyewe ipi inafanana na Kiswahili kwenye kusoma.
Zanzibar bado inalipa kwa kazi ya kuongoza watalii ? Najua porini (Arusha ilikuwa inalipa sana, tena sana ila watu wanabania sana kule, hawakupi pasi, Zanzibar haiko hivyo).
Hao watu nawapata wapi mkuu!?Fanya utafiti wa harakakabisa,mchukue mhispania,muandikie kiswahili halafu mwambie asome kama ulivyoandika,halafu mchukue mjerumani muandikie kiswahili halafu mwammbie asome kama ulivyoandika,utakuja kuniambia,
Usitumie marafiki sana katika tafiti za lugha jitumie mwenyewe,na kwa kuwa wewe ni muongoz wageni, bado siwezi amni kama hujui chochote hata salamu tu ya lugha ya kispania labda kama hujawahi kukuitana kabisa na hizo sura za waspania,
Hap kwenye ñ ndo patasumbua kidogo, lakini mtu anaelekezwa na kuelewa muda mfupi kabisa na ni kweli ukijua kiingereza kihispania kinakua kirahisi zaidi.Kma unajua english kispanishi kinakua rahis, ata matumiz ya grammar yanafanana pia. Tofaut nindogo sana kwenye matamshi hasa hayo maneno yenye ivo vialama kwa juu
Do you speak English? - Yes, I speak English, Spanish, and French.
¿Hablas inglés? - Sí, hablo inglés, español y francés.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kma unajua english kispanishi kinakua rahis, ata matumiz ya grammar yanafanana pia. Tofaut nindogo sana kwenye matamshi hasa hayo maneno yenye ivo vialama kwa juu
Do you speak English? - Yes, I speak English, Spanish, and French.
¿Hablas inglés? - Sí, hablo inglés, español y francés.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unabisha tu lakini duniani lugha raisi kwa mswahili kujifunza ni Spanish na Italian. German na French ni lugha ngumu kuliko hizo mbili.Kwa bahati kihispain sikijui lakini marafiki zangu wengi wanazungumza kwaiyo huezi kunidanganya ,bado mspain hawezi kutoa lafudhi ya kiswahili kama utakavompa mjerumani
Sent using Jamii Forums mobile app