Kijani

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
568
Reaction score
138
Kwajinsi nilivyo chukia KIJANI ninaomba mamlaka husika ziingize katika alama za Hatari.
 
napita....taa ya kijani hapa Ubungo mataa imewaka!!!
 
Wewe mbona una muelekeo wa kutoombea draught/famine! Either food scarcity ! ! ?
Kijani hata kwenye National flag inamaanisha Mimea means msosi in general, wewe unachukia msosi !
Hata freemason sijawahi kuwasikia ktk hilo.
 
bendera yetu yapepea tanzania, ina rangi bluu nyeusi,............., manjano. pls fil the gep
 
Wewe mbona una muelekeo wa kutoombea draught/famine! Either food scarcity ! ! ?
Kijani hata kwenye National flag inamaanisha Mimea means msosi in general, wewe unachukia msosi !
Hata freemason sijawahi kuwasikia ktk hilo.

hakuna chakula cha kijani. lkn maaana yangu kubwa ilikuwa ccm na watu wake
 
nalichukia hilo jina kuliko navyomchukia mchawi lol
 
hakuna chakula cha kijani. lkn maaana yangu kubwa ilikuwa ccm na watu wake

Huku utakua umemix marumba ama umeingia into toilet vary with you're gender!
Huku vya politic hatuvijuagi ! Panda kule majukwaa ya juu! Huku siasa ni kama umeleka Ng'ombe kwa malisho uwanja wa football !
 
hakuna chakula cha kijani. lkn maaana yangu kubwa ilikuwa ccm na watu wake

Ni kama usikiavyo wazungu ni weupe! Unadhani wana uweupe kama karatasi ? Au kama weupe wa shati la shule ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…