Kijana wenu natafuta kazi za computer waungwana


R

rajabukhamisi

New Member
Joined
Dec 8, 2012
Messages
1
Points
0
R

rajabukhamisi

New Member
Joined Dec 8, 2012
1 0
Nimejaliwa kuhitimu Diploma ya Computer and Information Technology mwaka 2010.
Ninauzoefu wa miaka mitatu kwenye kazi za Computer na Training za Computer kama Mkufunzi
Vitu vya zianda ni: -
1. CCNA - Cisco Certified Network Associate
2. IT Essential -
3. ICDL - International Computer Driving Licence
4. Advance Graphics Design - Photoshop, Illustrator, In Design and Quack
5. Website Design
6. Electronic Fiscal Device - ETR and EFD
Waungwana nomba kwa yeyote anaeweza nielekeza wapi wanaitaji mtu wa sifa kama zangu na yeyoye anae itaji msaada wa kiufundi wa Computer na Mashine za Risiti za TRA naomba awasiliane nami kwa namba +255 755 149 247 and +255 718 265 427
E-mail: kilao1@yahoo.com
 

Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,915
Top