Kijana wa miaka 29 natakiwa niwe level zipi

kachonjo

Senior Member
May 25, 2018
161
197
Ivi kijana wa miaka 29 anatakiwa aweje . level zipi anatakiwa afikie kimaisha . Nina jamaa yangu ana miaka 29 ilatabia zake aziendani Na age yake

Adi sasa ajawai jilipia Kodi ya chumba ata cha 25000 mtogole.

ajawai nunua ata shuka lakujifunika .yeye udandia usingizi kwenye maghetto ya wenzie.

Ajawai nunua ata simu zaidi ya 30000.ila yupo tiyari kubet ata laki kwa siku.

Kuoga tu ni issue .kwa wiki ataoga mala Moja .au akapiga deshi wiki zima.

Ajawai ata kujinunulia kiatu yeye ni malapa time yote.

Yupo tayari kushinda asubuhi Adi jioni kwenye majumba ya kubet.

Jitu kama hili kama unakaa nalo ukilifukuza kuna ubaya .

Mana achangii Kodi ya nyumba yeye kubet tu
 
at least awe hata ana benz G class hv... au gari nyingine nzurinzuri....
 
Ivi kijana wa miaka 29 anatakiwa aweje . level zipi anatakiwa afikie kimaisha . Nina jamaa yangu ana miaka 29 ilatabia zake aziendani Na age yake

Adi sasa ajawai jilipia Kodi ya chumba ata cha 25000 mtogole.

ajawai nunua ata shuka lakujifunika .yeye udandia usingizi kwenye maghetto ya wenzie.

Ajawai nunua ata simu zaidi ya 30000.ila yupo tiyari kubet ata laki kwa siku.

Kuoga tu ni issue .kwa wiki ataoga mala Moja .au akapiga deshi wiki zima.

Ajawai ata kujinunulia kiatu yeye ni malapa time yote.

Yupo tayari kushinda asubuhi Adi jioni kwenye majumba ya kubet.

Jitu kama hili kama unakaa nalo ukilifukuza kuna ubaya .

Mana achangii Kodi ya nyumba yeye kubet tu
Punguza umbea..Fanya yako hapa duniani, ya wengine hayakuhusu kila MTU ana maamuzi yake. Watu kama wewe ndio mnasababisha ccm iendelee kubaki madarakan..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom