Kijana wa kiume mbona unahaka ya mke hivyo mpaka unakosea jamani?
ebu jitambulishe ,jina baadae unafanya gani? unanyumba au umepanga? dini yako? umri wako? unae mtaka unataka awe na vigezo gani? wewe unaishi wapi? una mtoto japo wakusingiziwa? ebu tujuze tahadhali.....
Mimi Naitwa joseph,umri wangu ni miaka 28 mkiristo,naishi ubungo Dar ,nafanya kazi katika na tasisi moja ya Fedhabado cijafanikiwa kujenga nimepanga,mke ni dini yoyote na rangi yoyte ila asizidi maiaka 28