Kijana wa Kazi

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,905
Reaction score
33,099
Wakuu kwema? Natumaini mko sawa na maandalizi ya kumpokea Obama yanaendelea vizuri sana. Wakuu ninataka kuanza ufugaji wa kuku wa Nyama na mayai, ninahitaji kijana mzoefu aliyewahi kufanya hii makitu, kama una ndugu yako ana kauzoefu kidogo katika hii Nyanja tafadhali nikutanishe nae ili tusogeze gurudumu mbele la maendeleo. Eneo la ufugaji ni Dar es salaam viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…