Kijana wa darasa la saba amuua ndugu yake kisa suruali chafu

Display Name

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
410
500
Mwanafunzi wa darasa la saba(16) anashikiliwa na polisi baada ya kumuua kaka yake kwa kumchoma kisu walipokuwa wakigombana kuhusu suruali.

Imasemekana mtuhumiwa alikuta suruali ya kaka yake aitwaye Cahrles Omondi(18) ikiwa safi na kuivaa ila baada ya kuivaa hakuifua kitu ambacho kilimkasirisha sana kaka yake

Ndipo ugimvi ulipozuka baina yao na kupelekea Omondi kuchomwa kisu na ndugu yake huyo.

Mtuhumiwa nashikiliwa na polisi kwenye kituo cha Rangwe akisubiri kufikishwa mahakani.
----------------------------------------------------

It is alleged the suspect wore a clean pair of trousers belonging to Omondi and refused to clean it after, an issue that angered the elder brother.According to the area Chief Peter Otieno said villagers marched the boy to the police station and he will be charged.

A 16-year-old pupil in Rangwe Sub-County was on Sunday arrested for allegedly killing his 18-year-old brother after a fight over a pair of trousers.

A fight ensued between the two after the suspect wore a pair of trousers belonging to his elder brother which ended tragically when the victim, Charles Omondi was stabbed with a kitchen knife in his stomach.

It is alleged the suspect wore a clean pair of trousers belonging to Omondi and refused to clean it after, an issue that angered the deceased.

Omondi was rushed to Rangwe sub-county Hospital and later referred to Jaramogi Oginga Odinga Teaching and Referral Hospital in Kisumu where he succumbed while receiving treatment.

According to the area Chief Peter Otieno said villagers marched the boy to the police station and he will be charged.

“The incident angered the villagers who frog-matched the suspect to Rangwe police station where he is still being held awaiting to be arraigned before court,” Otieno said.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom