Nimezungumzia kuwa Kama bado unajitafuta , kile unachopata unakiwekeza Kisha baada ya mda utaondoka ukiwa na Msingi imara .Bila hizo changamoto za kujitegemea, hutokaa upate msukuko wa kusimama na kujisimamia mwenyewe. Omba tu Mungu wazazi wako wapate ujasiri wa kukufukuza, utawashukuru baadae.
Sawa, Lakini ukiona mwanamke Anaishi hapa Mjini mshahara wake wa mwezi una (, ) moja basi jua kuwa kuna wanaume Watano Nyuma yakemaisha hayajawah kuwa rahisi,
Ni magumu . Ila watu wanakomaa .
Kama kuna wanawake wanalipa kodi wenyewe,
Sasa Ww mwanaume unaogopaje majukumu ya kodi , maisha utatoboa kweli?...
Komaa , na dont skip the process.
Toka Home , anza maisha ya kujitegemea.
Ukiigopa Maisha utakufa maskini.
Nakubaliana na wewe binafsi , kutafutia maisha home nilishindwaSehemu yyt ile unaweza kujitafta iwe nyumban au ugenini...
Kikubwa ni kujiwekea malengo na mikakakti madhubuti, kupunguza ma2mz ya fedha yasiyo ya lazima.
Kukomboa wakati.
Kujitafta kimaisha si mpaka uwe mbali na kwenu.
Hapana Watoto wangu Mungu akinijalia nitawalea mwenyewe kwa Bibi& babu wataenda kusalimia tuacha kupenda kutembea kwenye ganda la ndizi, na wewe itakuwa ni miongoni mwa wale vijana mnazalisha/kuzalishwa halafu watoto mnawapelekea wazee wenu wawalee.
Kichwa maji, hao wazazi wako wangekuwa na akili kama zako sidhani kama ungekuwepo hapa kuandika huu utoto.Kwa kijana ambaye umeanza kujitafuta kimaisha, kama wazazi hawajakufukuza, au hujaaribu hapo mtaani.
Tafadhali baki tu nyumbani kwenu. Utaokoa kiasi flani cha fedha.
Achana na jamiii inaongea nini kuhusu watu ambao wanaishi bado kwao, Kulipa kodi ya nyumba sio jambo la kitoto.
Ona jinga hiliKwa kijana ambaye umeanza kujitafuta kimaisha, kama wazazi hawajakufukuza, au hujaaribu hapo mtaani.
Tafadhali baki tu nyumbani kwenu. Utaokoa kiasi flani cha fedha.
Achana na jamiii inaongea nini kuhusu watu ambao wanaishi bado kwao, Kulipa kodi ya nyumba sio jambo la kitoto.