Sehemu yyt ile unaweza kujitafta iwe nyumban au ugenini...Kwa kijana ambaye umeanza kujitafuta kimaisha, kama wazazi hawajakufukuza, au hujaaribu hapo mtaani.
Tafadhali baki tu nyumbani kwenu. Utaokoa kiasi flani cha fedha.
Achana na jamiii inaongea nini kuhusu watu ambao wanaishi bado kwao, Kulipa kodi ya nyumba sio jambo la kitoto.
Una mawazo negative sanaa na kichwa chako kimeja matusi tuu.Heri utoke hapo nyumban ukasake hata geto la 30000 elfu aiseé uwapishee hao unaowaita wazazi wakae Kwa kupumuaa Kwa kulishaa lijibaba lenye ndevu mpk makalioni nawee ukatafutee helaa za kujengaa nyumba Yako km n rahisi hvyoo ,shuwaniiiiii kbs kijana unaekaa Kwa wazazi na hausomi wala una mtindio wa ubongoo...
Ni kweli kabisa. Kijana mdogo kama wewe wa miaka 35 unaanzaje kwenda kuteseka huko mitaani wakati una kwenu? Heri uendelee kukaa kaa hapo home ukila ugali wa shkamoo huku ukiendelea kusikilizia michongo yako taratibu. Kwani una haraka gani ya kuhama?
[/QUOTE
Makalio n tusi kwakoo🤔,kukuambiaa utoke nyumban nakwenda kutafuta kwako n matusi...Una mawazo negative sanaa na kichwa chako kimeja matusi tuu.
Watu wa aina hii ni hovyo kabisa kwenye jamii.
Toa point, hauna point una ishia kutukana tuu.
Ni kweli kabisa. Kijana mdogo kama wewe wa miaka 35 unaanzaje kwenda kuteseka huko mitaani wakati una kwenu? Heri uendelee kukaa kaa hapo home ukila ugali wa shkamoo huku ukiendelea kusikilizia michongo yako taratibu. Kwani una haraka gani ya kuhama?
Basi una maneno ya dharura na kukandia kama siyo matusi kwa wewe unavyo hisi.Makalio n tusi kwakoo🤔,kukuambiaa utoke nyumban nakwenda kutafuta kwako n matusi...