Kijana tafuta hela uache unnecessary movement za Mlimani City, Kidimbwi ukale bata na matajiri ndani ya Ibiza

Sijui kwa nn hatuna maeneo ya ku enjoy km hayo,project km ya kigambon ingefaulu ingekua bonge moja la project
 
Bora hata ulijiongeza kukaa uchi aisee kuliko kuonekana umevaa mdosho
Yeah nilikua nimevaa ki cowboy kama hivi kumbe nimekosea dressing code
Mens-Western-Style-Bo-Develius-2016-Cowboy-Fashions-005.jpg
 
Wewe kijana unahitaji ukombozi wa FIKRA,unaishi kwenye illusions....unasimulia fairytale yako kumbe hata kazi tu huna ndio unasambaza CV.?kwa hadithi yako hiyo huko waajiriwa hawapawezi huko wanaenda matycoon na madon wa ngada..nawa uso bado una tongotongo
Weeee utakuwa motivation speaker
 
Kakosea, Kasema $300, but kuna Hotel Serengeti $10,000 a night!
Mojawapo ni Four season safari,

by the time tunaizindua mwaka 2009 ilikua inaitwa Bilila Lodge

Ukilala presidential Villa kule unalipa madolari mengi mno
 
Back
Top Bottom