....Kuna kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sospeter Shindika anayesema atazunguka nchi nzima hususani Tanganyika kujionea maendeleo yaliyofikiwa ndani ya miaka 50 kwa kutumia pikipiki tena ya kichina..amedai mambo ni mazuri tofauti na watu wanavyosema,amesema safari yake itaitimishwa tarehe 9 desemba wakati wa kilele cha sherehe hizo na atapokewa na viongozi wa juu wa nchi.
My take;
Jamaa atakufa kwa kutaka sifa za kijinga...
Source:TBC-CCM C news bulletin
mgönjwa wa akili huyo pikipiki ya mchina ukiendesha Dar hadi Mpanda atakua tayari Kafa ! PUNGUANI
Hiyo source ya habari yako vp? Nachojua mimi CDM ndio CCM-C. Itakuwa vizuri kama ukiiedit ili ireflect hali halisi....Kuna kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sospeter Shindika anayesema atazunguka nchi nzima hususani Tanganyika kujionea maendeleo yaliyofikiwa ndani ya miaka 50 kwa kutumia pikipiki tena ya kichina..amedai mambo ni mazuri tofauti na watu wanavyosema,amesema safari yake itaitimishwa tarehe 9 desemba wakati wa kilele cha sherehe hizo na atapokewa na viongozi wa juu wa nchi.
My take;
Jamaa atakufa kwa kutaka sifa za kijinga...
Source:TBC-CCM C news bulletin
Mwacheni nae ajitangaze afahamike. Ila anaongea mambo ya kusadikika.
...nadhani Rejao anaweza kuwa kichaa kuliko hata huyo Shindika tumjadiliye!! Rejao angekuwa yuko timamu,asingeshindwa kujua ukweli uliowazi kuwa TBC ni CCM-C, ikifuatia CUF ambayo ni CCM-B.