Kijana na ndege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana na ndege

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Cute62, Jul 17, 2012.

 1. C

  Cute62 Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kijana 1 alkua anafagia ndan ya ndege,akaokota kitabu chenye maelezo ndan,
  ukurasa1:ukitaka kuwasha ndege bonyeza kitufe chekundu,akabonyeza ikawaka
  ukurasa2:uktaka ndg itembee,bonyeza kitufe cha blue,kabonyeza ikatembea
  ukurasa3:uktaka ndeg ipae bonyeza kwny njano,akabonyeza ikapaa
  jamaa akafurah sn akasema,"wanaosomea n wajinga,me nimeishia la nne tu nimeweza
  ukurasa wa mwisho kasoma:ukitaka ndg itue,tafadhal fika chuon kwe2
  hv,ingkua wewe ungfanyaje?
   
 2. E

  ELIBARIKI SARUNI New Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si unakwenda chuoni kwao?
   
 3. C

  Cute62 Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sasa ye hakusoma hvy b4,,hapo tayar ndege imeshapaa....
   
 4. simba29

  simba29 Senior Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ningekula jeur yangu!
   
Loading...