Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,734
- 8,986
Umenena vyemaNice family...maisha ni familia asikudanganye ntu...
"Kabla ya Dully Sykes kutoka na Juma nature, nipo kariakoo kwenye zaga tunakesha, Kila Banda Kila store tunasaka pesa...Wapo vijana wengi ila nazungumzia wasanii Hawa wa Sasa Kila kukicha idadi ya nzige.
Huyu kijana bila wakubwa angekuwa kama mkoa anayetokea madini ambayo hayapo zaidi ya migebuka na nafunza kwa Sasa chawa.
Mr blue kijana mmoja mwenye mvuto kama sisi wakubwa tunataka vijana wawe mfano.
View attachment 2763221
Namkubali sana kwny chorus za collabo anazofanya...
Alichofanya cha maana mr blue kuoa na akapata mke sahihi
Mziki unapesa blue Ana miliki nyumba 11.
Sio kuoa tu alipata mwanamke ambaye alikuwa na utayari wa kushikana nae through thick and thin.Alichofanya cha maana mr blue kuoa na akapata mke sahihi
Wanawake ni wale wale, yaani kupendwa kwake mr blue na wanawake wengine kwa mkewe ilikuwa kikwazo! ππππ
Yaani huwa wanatamani kuona aanawake woote duniani hawakutamani wala kukupenda isipokuwa yeyeeWanawake ni wale wale, yaani kupendwa kwake mr blue na wanawake wengine kwa mkewe ilikuwa kikwazo! ππππ