Nasisitiza kila mara humu.
Mwanaume kama huna uwezo wa kumtunza, kumuongoza na kumlinda mwanamke, ACHANA NA NDOA KABISA.
Hio kuanza from scratch ni Fairy Tales. Mwanaume ni lazima uweze kuhudumia Mkeo, na mengine yote utazidishiwa.
Be a Man, zingatia kwanza wewe kuwa bora kabla hujataka kuja kuonewa huruma na mwanamke.