Kijana ana bachelor degree in history na short course ya utalii

Kijana ana bachelor degree in history na short course ya utalii

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Amenituma kumtangazia anatafuta kazi inayolingana na profession yake
je ni mashirika au makampuni gani anaweza kupata ajira?
Amamaliza kwenye chuo kikuu cha udom.

Wanajamii forums mmekuwa mkinisaidia binafsi kwa mambo mengi naomba nisaidieni kwa ombi la kijana huyu ambaye hata hela ya kuingia kwenye inetrnet hana sasa ameniomba nimsaidie kutoa hii advertisement yake kwenu
asanteni
 
wishing him best of luck.....
*Jaribu kuingia website ya tanapa uangalie
*akaombe temporal job katika mashule afundishe ''history &general studies/civics''
......field alifanya wapi? Ajaribu kucheki sehemu kama hizo alizipuga field....aombe hata volunteering ajenge experience and exposure ''huwa wanalipa pesa kidogo(allowance)'' then mungu atafungua njia.,
 
Ninakushukuru kwa niaba yake huyu kijana
ninakupa email yake ili ummuulize hayo maswali lakini kwa cv yake inaonyesha amefanya practical nyingi
Email yake: stanlydanstan@yahoo.com
Barikiwa sana kwa moyo wa kumsaidia kimawazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom