hajapona,nadhani alikuwa na lengo la kujiua.
hiyo ni mara ya pili sasa mtu ambaye si mgonjwa kujirusha na kufa.
Itakuwa ana ngoma huyo sio bure huyo
Khaa!!! Mimi huwa Napata shida sana kuelewa kitu gani hasa kinachompata mwanadamu mwenye nguvu na akili timamu hadi akaamua kujitoa maisha. Kwani ukishakuwa na nguvu na akili timamu basi unasifa ya kuweza kupambana vita vya maisha :angry:hajapona,nadhani alikuwa na lengo la kujiua.
hiyo ni mara ya pili sasa mtu ambaye si mgonjwa kujirusha na kufa.