RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Emmanuel Mkazi wa Mwananyamala kwa Kopa amefariki dunia na kufungiwa ndani ya chumba chake kwa muda wa siku tatu na mama yake mzazi jambo ambalo limesababisha taharuki kwa majirani pamoja wa wakazi wanaoishi eneo hilo.
Kijana huyo alidaiwa kupotea siku kadhaa zilizopita na kuja kuoneka akiwa amefariki na kufungiwa ndani ya Chumba chake tukio ambalo pia limeshangaza baadhi ya viongozi wa serikali ya Mtaa wa eneo hilo Huku Mama mzazi wa kijana huyo akikaata kuwa mwanae amefariki.