Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi unatokana na nguvu na mizizi iliyoanzia ngazi za chini, hivyo haupaswi kuwa ajenda ya kuhojiwa na vyama vya upinzani.
Akizungumza kwenye Kikao cha Shina Namba Moja, Singida Mjini leo Januari 19, 2026, Kihongosi amekitaka chama chochote kilichosusia kushiriki uchaguzi kuacha kuuliza kuhusu matokeo, akisisitiza kuwa hakina uhalali wa kufanya hivyo.
“Kuna chama kiligoma kushiriki uchaguzi, vyama vingine vikashiriki, CCM kikashinda kwa kishindo wanahoji ‘mmeshindaje shindaje?’ Wewe hujashiriki uchaguzi unauliza kama nani? Umesusa, umekataa, watu wameshinda unaanza kunung’unika. Raha ya ngoma ni kuingia kucheza,” amesema.

Kwa hiyo anataka kusema kama hukushiriki uchanguzi hutakiwi kuhoji matokeo...!! Hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya kuwaondoa wapinzani na kuwaweka vibaraka wao kwa kuwapa mpaka maV Eighty kuzunguka nayo kwa miezi miwili ili kujihalalishia uhuni wao!! WAMEBUA .... ICC wako busy wanaandaa makaratasi.

Mlialikwa kwenye mkutano wa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi mkasusa na kuendelea kuandika humu jukwaani 'no reform no election' hiyo election imefanyika mnakuja na kauli nyingine za kipuuzi.
Hawa hiki kiburi dawa yao ni moja tu. ICC na Mahakama nyingine za nje.
Msiendelee kubishana nao maana kiburi walichokuwa nacho saivi ni cha kunywa damu za watu hadharani alafu wanatangaza kabisa na kujisifia kuwa tumekunywa damu zenu na hamna cha kutufanya.
Binadamu akifikia level hii ya kiburi dawa yake ni kushughulikia nae kupitia wenye nguvu zaidi yake.
Kwa kuwa wametuona Wananchi mapoyoyo tusioweza kuwafanya lolote sisi nguvu zetu sasahivi tunahamishia kwa Wazungu. Ni mwendo wa ICC na Mahakama za Nje tu maana hata wanajeshi tuliwategemea wamekuwa wapumbavu.
Ngoja Arrest Warrant zianze kutoka ndo utaelewa kuwa hawa ccm sio lolote.

Imefika mwisho huo uhuni, na kwa taarifa yako tunaandaa maandamano makubwa mwaka kesho kwenye miji yote itakayoandaliwa michuano ya AFCON, hadi mjue kuchezea haki za watu haikubaliki.

Final ya AFCON jana imetoa message loud&clear
1.Bila hakhi hakuna amani
2.Hakhi inadaiwa hata ikibidi kwa nguvu
3.Kila jambo lina ukomo- baada ya kubebwa kwenye mechi nyingi jana Morocco wamekwaa kisiki na kupata aibu ya milele.