kiherehere noma sana.

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
jamaa kenda kutembelea ukweni,baada ya muda akaona kuku anakimbizwa akajua ni maandlizi kwa ajili yake,kwa kiherehere chake akaropoka 'msiweke mchuzi mi napenda wa kukaanga'mama mkwe akajibu
huyu si wa kuchinja anaatamia,
ungekuwa wewe ungejisikiaje?
 
Mimi mwenyewe juzi kati niliaibika kazini,kuna mfanyakazi mwenzangu aliwaita wadada wanaofanya usafi wamletee pepsi 2 kwa kihereheree si nikaropoka mimi huwa sinywi pepsi akasema zote zangu nakunywa mimi nilijisikiaje aibuuu!!
 
Pole sana kwa uroho na kuropokwa
 
Mimi mwenyewe juzi kati niliaibika kazini,kuna mfanyakazi mwenzangu aliwaita wadada wanaofanya usafi wamletee pepsi 2 kwa kihereheree si nikaropoka mimi huwa sinywi pepsi akasema zote zangu nakunywa mimi nilijisikiaje aibuuu!!
Hii inawezekana ilikuwa ya kwako.sema ukamkata maini kwa kujichagulia zawadi, akaona asikukawize.
 
Back
Top Bottom