Kiherehere kimeiponza Uingereza

Kiherehere kimeiponza Uingereza

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,310
Reaction score
40,588
Kiherehere kimeiponza Uingereza baada washirika wengi wa Marekani kukataa kuungana na Marekani kuishambulia Yemen Uingereza ikajitokeza na kukaza shingo kuwashambulia Houthi sasa meli zake zinazamishwa zikiwa na shehena ya mafuta/mizigo kwenda Israeli
BREAKING:

Pictures have emerged of the British oil ship Marlin Luanda, which was hit by a Houthi missile, burning.

t.me/megatron_ron


BREAKING:

The British oil ship, Marlin Luanda, hit by Yemenis is on the verge of sinking

Reports say the cargo tank has exploded, the fire is huge and the crew called for urgent help.

t.me/megatron_ron
 
.Tanker Marlin LuandaATTACH=full]2884407[/ATTACH]
IMG_20240127_101717.jpg
 

Attachments

  • IMG_20240127_101748.jpg
    IMG_20240127_101748.jpg
    18.5 KB · Views: 9
Hao majangiri leo mnafurahia uhalifu wao lakini wakianza kupigwa mnakimbilia mahakamani
Uhalifu upi?

Usiwe punguani Israel wameuwa watu zaidi ya 23.000 kuna uhalifu kama huo?

Acha kuwa mateka wa akili
 
Kiherehere kimeiponza Uingereza baada washirika wengi wa Marekani kukataa kuungana na Marekani kuishambulia Yemen Uingereza ikajitokeza na kukaza shingo kuwashambulia Houthi sasa meli zake zinazamishwa zikiwa na shehena ya mafuta/mizigo kwenda Israeli..
Kwani ni UK tu iliungana na US, mbona kuna nchi kadhaa hata za Kiarabu?

On Jan. 11 at 2:30 a.m. (Sanaa time), U.S. Central Command forces, in coordination with the United Kingdom, and support from Australia, Canada, the Netherlands, and Bahrain conducted joint strikes on Houthi targets to degrade their capability to continue their illegal and reckless attacks on international vessels and commercial shipping in the Red Sea...
 
Uhalifu upi?

Usiwe punguani Israel wameuwa watu zaidi ya 23.000 kuna uhalifu kama huo?

Acha kuwa mateka wa akili
Bila Hamas kuvamia Israel hizo casualities zingetokea?
 
Bila Hamas kuvamia Israel hizo casualities zingetokea?
Unaonekana ufahamu chochote kuhusu Palestina na Israel kwa akili yako vita vimeanza Oct 7.

Fuatilia hiii kesi Wapestina wameanza kuuliwa mwaka 1948.
 
Sio wakianza kupigwa, tuungane kuukataa uonevu.

Hawa washenzi walishajiona wao ndio wenye hati Miliki na hii Dunia.

Sasa hivi Kila mtu ana ndevu lazima tuheshimiane tuu
Leo tunamlaumu Rwanda kuvuka mipaka ya Congo na kufanya uhalifu lakini Marekani kila sehemu anavuka mipaka nakuiba mchana kweupe na Dunia ipo kimya watu waamke waache kulishwa matango pori na Nchi za Magharibi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom