Katika kile kinachoonekana kuwa familia ya Mbunge wa viti maalumu wilaya ya Nzega Mh Kigwangala ina matatizo ya asili, jana mdogo wake Lumola Maziku anaewania Uenyekiti wa Uvccm mkoa wa Tabora alitoa mpya pale alipokataa kuhojiwa(Kusailiwa) na kamati ya utekelezaji mkoa wa Tabora eti hana imani nayo hivyo haiwezi kumtendea haki na kutaka yeye akahojiwe na kamati ya utekelezaji Taifa bila kujua hatua za usaili zikoje kwani lazima uhojiwe na kamati hiyo kisha mapendekezo lazima yapitie kamati ya siasa mkoa na baadae Taifani,
Lumola Maziku hata hivyo baada ya kulamishwa leo kakubali kuhojiwa nakamati hiyo akitoa tambo nyingi kuwa hakuna kama yeye ilhali nae akimuiga kaka yake kutembea na kifimbo cheusi(Kutisha watu) kama ishara ya ulinzi sijui