Hilo nalo tatizo jingine. Anatoa matamko mara kwa mara na hata kujibu instagram na hata kuripoti instagram hatua alizochukua baada ya kusoma hoja instagram! Kuna mambo kweli anaweza kutumia nafasi yake kuwa social kufanikisha lakini umakini ni muhimu sana kwake.Like Hillary like Kugwangalla...hiyo anayoitumia kutoa misimamo na matamko ya kiofisi in account ya wizara au ni yake binafsi?
#Repost @mangekimambi_ with @repostapp
・・・
Baada ya ile posti ya jana. Hiki ndo alichosema Kingwangwala. Aibu yani! Eti alikuwa hajui kuna upungufu wa chanjo nchini... [emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nimecheke. Mange Kimambi Niko Marekani najua kuna upungufu mkubwa wa chanjo Tanzania Ila naibu Waziri wa Afya anaeishi Tanzania hajui kuna upungufu wa chanjo..... [emoji24][emoji24][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]. Nilidhani mawaziri wa Magufuli wako makini! [emoji85][emoji85][emoji85]. .
.
Nawaambia Hivi alikuwa anajua vizuri, wote wanajua mpaka Rais anajua. Haiwezekani hospitali za serikali hazijapeleka taarifa serikalini. Wanajua vizuri ila Tatizo pesa, kununua chanjo hawawezi kula juu Kwa juuu. Wanaona bora wakajenge mji Dodoma watajirike kuliko kuokoa Maisha ya Watoto wenu. [emoji57][emoji57][emoji57]
.
.
#Repost @hamisi_kigwangalla
・・・
Kumekuwa na upungufu wa chanjo ya 'yellow fever' kwenye kituo cha Mnazi Mmoja, ambapo watu wengi wamezoea kuipata kabla ya Safari. Wakati tukitatua changamoto hii, tunawaelekeza wananchi wote wanaohitaji chanjo hii Kwa ajili ya Safari waende Bandarini sea port wataipata. Samahani Kwa kuchelewa kutoa maelezo haya. Niko jimboni, tulikuwa Na ugeni wa Mhe. Rais. Kuhusu chanjo nyingine, sijapata taarifa za upungufu. Naomba niendelee kufuatilia, nitawapa taarifa sahihi Wakati muafaka. #MzeeWaField #BaloziWaWanawake #Mtemi #Dr_Kigwangalla #Hapakazitu
Hii Post ya Agosti 2, 2016... Naibu Waziri kweli alikua hajapata muda kuongea na watendaji wake ama viongozi wenzake? Hajapata mda kusoma majalada?
Huyu jamii ni mzigo tu lakini anapenda kujitutumua ,nimeamini uongozi ni kipaji,Kigwangalla ni daktari ,naibu wizara ya afya kwa hiyo yupo kwenye uongozi wa fani aliyoisomea ,Ukifuatilia kati taarifa anazo toa Ummy - ziko well planned kuliko huyu naibu ,angekuwa makini kila anapozungumza watu wangempenda lakini statements zake majanga ,Well done Ummy ! I admire your perfomance
Unapozungumzia Afya sio Daktari pekee. Chanjo ipo Upande wa Afya kinga. Na madaktari wapo upande wa Afya Tiba. Hivyo ni dhahiri mambo yahusuyo Kinga yanaweza leta taabu kidogoHuyu jamii ni mzigo tu lakini anapenda kujitutumua ,nimeamini uongozi ni kipaji,Kigwangalla ni daktari ,naibu wizara ya afya kwa hiyo yupo kwenye uongozi wa fani aliyoisomea ,Ukifuatilia kati taarifa anazo toa Ummy - ziko well planned kuliko huyu naibu ,angekuwa makini kila anapozungumza watu wangempenda lakini statements zake majanga ,Well done Ummy ! I admire your perfomance
Uko sahihi. Kuwa daktari si kwamba wizara nzima yeye ni mjuaji wa kila kitu na hahitaji vikao, ushauri na ushirikishaji. Anapaswa ajue uongozi ni dhamana na ushirikishaji si one man show... anamuiga JPM bila kujua mwenzake ana mbinu na vyanzo vingi vya taarifa na ana vyombo vingi vinavyomsaidiaUnapozungumzia Afya sio Daktari pekee. Chanjo ipo Upande wa Afya kinga. Na madaktari wapo upande wa Afya Tiba. Hivyo ni dhahiri mambo yahusuyo Kinga yanaweza leta taabu kidogo
Surgery haihitaji Surgeon pekee bali anatakiwa na Anaesthetist awepo vile vile. Kuna utaratibu gani kuhakikisha wataalam hawa wapo wa kutosha kabla hatujatoa matamko ya aina hii?....halisi..... nice to see you back with serious inputs on the performance of this minister ( i recall your serious inputs wakati wa kushughulika na issue ya zile gati za bandari na kampuni za kichina...issue iliyoondoka na kina Athumani Mfutakamba na yule waziri wake)...
....ni kweli huyu waziri kila kikiwa na issue ya afya anakimbilia mitandaoni kutoa matamko yasiyofanyiwa utafiti....wakati yeye ni waziri na ana watendaji chini yake anaoweza kupata taarifa za kina kwao kabla ya kukimbilia mitandaoni....
...haya matamko ya chanzo ni moja tu ya matamko yake....lakini nimeona pia tamko lake akiwataka ma DMOs kuhakikisha hospital zina theatres....ametoa matamko kwa kuangalia mapato ya sehemu husika...lakini hajagusia uwepo wa surgeons kwenye hizo surgical theatres(hili ndio tatizo sugu)....yaani ni sawa na zile kelele za kuwepo madarasa bila kujali kama kuna waalimu....
....that said...kigwa ni aina ya mawaziri wanaofikiri kujitangaza sana mitandaoni kutawaongezea credibility kwa mteuzi wao....kwake yeye uwepo wa chanjo ni secondary....wakati kuonekana ametoa tamko ndio primary....so sad....
....hilo ndio swali la kumuuliza huyu waziri wa matamko....hamna logic ya kuhangaika kuwa na theatres wakati wa kuzitumia hawapo...inasikitisha waziri ambae ni MD hajui kipi kinaanza.....yeye kinachoanza ni matamko....Surgery haihitaji Surgeon pekee bali anatakiwa na Anaesthetist awepo vile vile. Kuna utaratibu gani kuhakikisha wataalam hawa wapo wa kutosha kabla hatujatoa matamko ya aina hii?
Uko sahihi kuna is hu za kushughulika nazo nyingi wizarani kwako anahangaika Na mjasiriamali mwaka.hatuoni akitoa elimu juu ya malaria .miongozo .kwani net si suluhisho la kuzuia mbuAnangaika na Dr. Mwaka badala ya kuangaika na matatizo ya wizara yake. Poor Kigwangala
Sasa kama Maafisa Afya mazingira Hawapewi kipaumbele unategemea nini? Hapo ni mwendo wa net tena ukute za wafadhiri. Na pesa kuelekezwa kwenye kununua madawa ya.malaria. wanajari Tiba kuliko kinga kuisoma namba kupo tu.Uko sahihi kuna is hu za kushughulika nazo nyingi wizarani kwako anahangaika Na mjasiriamali mwaka.hatuoni akitoa elimu juu ya malaria .miongozo .kwani net si suluhisho la kuzuia mbu