Niliwasikia non Medics MPs walivyosimama kidete kutetea medical professionals kama Mh. Hilda Ngoye, Suzana Lyimo etc nikategemea Dr. Hamis Kingwangwala aka Said Nassoro Bagaile naye ange board the same boat lakini akandandia boat ya Kafulila ambayo mwishowe alikuja kuumbuka mwenyewe kwamba wakati tunakusanya bilion 280 exchange rate ya Dola to Sh ilikuwa 1:1,000.
Ambapo sasa tunakusanya bilion 380 exchange rate ya dola to Tsh ni 1:1,600 yaani kusema kweli Dr. Kingwangwala umetudhalilisha MDs wote kwa kushindwa kuone that simple fact na kuumbuliwa na Kafulila. Kusema kweli huko CCM kuna matatizo, nimekuwa nikisema hili, binadamu wanapoingia CCM uwezo wa kufikiri na kutafakuri huanguka vibaya, tumemuona jana Sitta alivyotetea ulegevu wa serikali kukusanya kodi kwa hoja dhaifu za POSHO na UNAFIKI.
Jamani hivi kuna nini huko CCM?