Tingatinga lina sifa moja kubwa,..Linatumia nguvu nyingi sana katika kushughulikia tatizo lililokuwa mbele yake hata kama halikuhitaji nguvu kubwa kiasi hicho.Madhara ya nguvu kubwa katika tatizo dogo lina madhara makubwa mno.Mifano 1.Wachina walishinda ktk kesi na mamilioni yanatakiwa kulipwa kwa kodi zetu 2.Makandarasi waliosimamishwa pasipo taratibu wamelipwa mamilioni kwa jasho la walalahoi 3.Mamilioni yametumika kujenga barabara mbovu kwa pupa ambazo zimeharibika kabla ya uzinduzi...Tunamchagua LOWASSA 2015.