Kigoma sio ndondocha

hatuko tayari kuongozwa na mnafiki

Haya bana, endeleeni kuongozwa na Viongozi wenye kuithamini Kaskazini tu!

Katika miaka yote ya siasa mkoani Kigoma, jimbo la Zitto K limekuwa na maendeleo kupita majimbo mengine ya KG, ninatamani Ubunge ungekuwa wa mikoa Zitto akawa mbunge wa mkoa na yakafanyika yaliyofanyika jimboni kwake.

Siasa ni siasa tu, umewahi kujiuliza hela za Sabodo za visima zilienda wapi? Maana hakuna kisima hata kimoja kilichochimbwa na wala chama hakikutoa mrejesho wa matumizi ya ile fedha.

Hakuna mwanasiasa atakayekuneemesha mkuu, wanatetea matumbo yao tu.
 

wewe una matatizo na huijui Kigoma. Hakuna lami unayoweza kujenga kuunga mkoa bila kupita Mwandiga.

Ni sawa na kusema huwezi kuunga Dar kwa lami bila kupitia mkoa wa Pwani
 
wewe una matatizo na huijui Kigoma. Hakuna lami unayoweza kujenga kuunga mkoa bila kupita Mwandiga.

Ni sawa na kusema huwezi kuunga Dar kwa lami bila kupitia mkoa wa Pwani

Barabara ya Kigoma Kasulu inapiata Mwandiga? Au pale kwenye junction ndo unapaita Mwandiga!

Ukizungumzia kwenda Manyovu sawa ila sio Kasulu. Na kwa nini lami iishie Kidahwe?
 
ujumbe wako wana kigoma wameusikia lakini kuingia chama kingine kwa kutumia utashi wako huo sio undondocha kukaa kwenye chama bila kutumia utashi wako huo ndo undondocha by the way una define vipi undondocha????

Dada uko vizuri sana, umenigusa na hayo maneno yako machache. Big up sana. Watu wengine wanaleta thread ambazo ni za kumlazimisha mtu kuendelea kuwa mtumwa wa kikundi Fulani ambacho kimeanza kupoteza mvuto.
 

haya sasa matusi, zile dharau zenu na chama chenu ndo mnaanza kututafuta tena? Tuacheni watu wa Kigoma tufanye mabadiliko
 

Njia rasmi kwenu ni zipi? Mwaka 2009 alitaka kugombea kihalali na kikatiba mkamwomba ajitoe eti amwachie Mbowe amalize vipindi viwili kama katiba inavyosema, baada ya yeye kukubali kuondoa jina mkabadili katiba na kuamua kwamba Mbowe awe mwenyekiti mpaka atakapoamua mwenyewe (Hiyo ni demorasia?).

Tena mabadiliko yalifanyika bila vikao rasmi, leo hii mmemfukuza amekubali kuwapisha sasa mnaweweseka wa kuwatungia majina mbalimbali watu wanaoamua kumfata Zitto, ni ubaguzi mbaya huu.

Ubaguzi unaanza na kupeana majina mabaya, kama hayo ya usaliti, ndondocha, wapumbavu etc.

Kama wewe sio ndondocha kaa nalo moyoni, by the way hujui kesho itakuwaje maana huyu unayemwamini leo kesho anaweza kukushangaza!

In short CDM imejaa ubaguzi wa kidini na kikanda, ulafi wa madaraka na mali kwa viongozi wakuu, ujivuni na maringo, hela za mzee Sabodo wamegawana badala ya kuchimba visima.

Hii ACT iliyoanzishwa leo haitakuja kuwa na tofauti na vyama vingine, ni wale wale tu, wanasiasa kutaka kula kwa kutudanganya eti wanatusaidia, wote waongo waongo tu.

Sasa nyie kalieni ushabiki huku wenzenu wananeemeka.
 
Nikipewa maelezo leo na kiongozi mkubwa wa vijana Wilaya ya BUHIGWE ameonesha kufurahi sana kumunasa zito na kufanikiwa kufitinisha chama cha Chadema
amesema
Cdm ilikuwa imetukalia koo tukaona wakumukamata ili vuluge chama ni zzk sasa hv tunaenda kushinda bila ubishi
Ameongeza kuwa Ccm walikuwa hawaja amini kama kweli anatenda yaliyo yao.Leo ndo napata ukwel inauma sana
 
ujinga mtupu,okiwa chadema safi,ukiwa ACT unakuwa mkabila.kusini ina wabunge wengi wa ccm maendeleo yako wapi,inaonesha ni jinsi gani gani jiti lilivyo wachoma na sasa mnahangaika nalo.
 
mkuu nilikua sijajua hivi kumbe zito kabwe ni muanzilishi wa chama cha ACT??
naomba vizibitisho,napenda kulifahamu hili

Bado unaomba uthibitisho??? nyinyi tunawaambia kila siku akili zenu hazina akili hamwezi kuona jambo likiwa bado sio dhahiri, aibu yako. Noa ubongo sio mapanga dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…