Kigoma mmeshangaza Sana

kweli kigoma mumeaibisha kama kwetu hapa dodoma jaman
 

Bungeni Walipendeza Ila Majimboni Walijisahau Sana!
 
Akina Kafulila walikuw kama Yatima Mwnykt wao Alikuwa bize kumdalalia Kura Fisadi, Gwajima alipozozana na Dr.Slaa kuhusu ujio wa Fisadi haya yalikuwa mambo ya ndani ya Chama cha kushangaza alietumwa kusema Kamati kuu ya Chadema ilifuata kanuni alikuwa Mliberali Mbatia badala ya viongoz wa Chadema, Kafulila kabanwa mbavu kigoma hana msaada anampigia simu Mwnykt wake wa Taifa anamjibu eti komaa mpaka kieleweke yeye yupo bize na Nduli haramia na mpishi wa matokeo feki kwa njia ya mtandao
 
Akina mkosamali walikua wazungumzaji bungeni lkn majimboni kwao hawakufanta chochote. Hata kununua dawati ilikua shida
 

Huko hawana tv za kuona kinachoendelea bungeni.
 
Kigoma tunajielewa sisi sio mapoyoyo, tuliwatuma watuleteee Maendeleo na sio kupiga kelele ambazo hazina kichwa wala miguuu wala escro. acha wajifunze kwanza c unaona anayeleta Maendeleo anerudi

Hela za kuwaletea maendeleo watazipata wapi kama escrow imezilamba?
 

Usishangae hawo wabunge wenu kwenye majimbo hawafanyi chochote kile na wala hawakai huko sasa wananchi hilo hawalikubali
 
Labda sasa Kigoma itakuwa kama Dubai
 
wachaguliwe kwa hoja gani wakati ukawa hawana hata manifesto ya uchaguzi. wananchi hawajaona kitu kwenye sera ya elimu elimu elimu bodaboda na mama ntilie ya mgombea wa ukawa.
 
wachaguliwe kwa hoja gani wakati ukawa hawana hata manifesto ya uchaguzi. wananchi hawajaona kitu kwenye sera ya elimu elimu elimu bodaboda mama ntilie na kumtoa lupango babu seya ya mgombea wa ukawa.
 
Watu wa Kigoma wala hawajui kama Nyerere alishakufa. Ngoja CCM itakuja kuwakomboa. Sisi wengine tupige mbele hadi katiba ipatikane.
 
Husiwalaumu naona kigoma imeisha geuka dubai kwahiyo wameridhika.
 

yeah umejaribu kufafanua ila fitina zilikuwa nyingi sana!
inasikitisha sana kuwakosa hawa waheshimiwa maana walikuwa na mchango mkubwa sana .
 
pole sana sana mh kafulila !!!!
Nguruka tupo pamoja na wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…