Kigogo


Kompyuta haina akili. Mengine tunaweza tukajadili. Inauwezo wa kufanya mambo makubwa na kwa kasi zaidi lakini ni yale imeamriwa au kupangiwa ifanye na mwanadam.
 
Kompyuta haina akili. Mengine tunaweza tukajadili. Inauwezo wa kufanya mambo makubwa na kwa kasi zaidi lakini ni yale imeamriwa au kupangiwa ifanye na mwanadam.
Ni kweli computer haina akili, ila imejazwa akili za wanadamu, kama nilivyosema hapo juu. Mojawapo ya challenge kubwa sana kwenye eneo hili la Artificial Intelligence mpaka muda huu ni kutengeneza kompyuta ambayo itakuwa inakua yenyewe kiakili, bila kuongezewa akili na mwanadamu. Walichoweza kufanya mpaka muda huu kwenye eneo hili ni kutengeneza kompyuta na progam yake inayoweza ku-"mimic human behaviour" kiasi kwamba kuna intelligent computers ambazo kwa sasa unaweza ukaongea nayo na usiweze kujua kuwa unaongea na kompyuta ila ukadhani kuwa ni mwanadamu
 
Kama ina akili iambie ioge maji Kisha itume mliman city ikakuletee πŸ•
Robot ina uwezo wa kufanya hivyo. Robot ni kompyuta kwenye ganda linalofanana na mwili wa binadmu. Simu yako ya mkononi pia ni kompyuta, inakuamsha kila siku saa 12 asubuhi uende kazini. Unaiambia kwa kuweka alarm ya kukuamsha saa 12 asubuhi.
Inaonyesha watu tulio wengi shida iko kwenye definition ya kompyuter, hatujui kompyuter nini
Kwa mifano ya nyongeza:
Unapoweka vocha kwenye simu yako kwa ajili ya kuongeza salio, inayokukujulisha kuwa salio lako tuseme ni shillingi elfu kumi ni Kompuuta
Unapoongea kwa dakika kadhaa na salio lako kupungua, inayokata fedha kulingana na muda wa maongezi ulioutumia ni komputea pia.
Kwa ujumla, kila unachofanya kwa kutumia device ambayo ni ya electronics, kinafanywa na komputa
 

Nilishakuelewa tokea awali mtumishi, nilitaka tu kuweka sawa kuhusu computer kuwa na akili.
 
Jana jamhuri ya watu wa twita akisema Kuna mtu wa bandari ataliwa kichwa na akamtaja jina na Leo imekua kweli,achana na kigogo kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Huwa pia anawalisha watanzania matango pori...la juzi juzi alisema bodyguard wa magu alikufa kesho yake akatimba msibani.


Bilal amekufa kesho yake akaja kwenye msiba wa maalim seif

Na la juzi alisema pdf ya ma rc na dc's itatoka one week ago na mpaka leo haijatoka.

Wapumbavu pekee watamuamini huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…