Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Mkuu ana tumia account yake humu
Nahisi atakuwa ni mtu nyeti Usalama wa Taifa,ambaye anaisaliti taasisi hiyo nyeti.Kwa kuongezea,anajijua computer kuliko watanzania wooote,ndio maana mpaka leo,hajulikani ni Nani,anakaa wapi na mainfo ya ukweli anayapata wapi, ingawa watu watapinga.
Siku nne kabla ya uchaguzi mkuu aliandika kule jamhuri ya twita kwamba,watapunguza speed mitandao,kwa hiyo mpakue vipieni,watu wakabisha,kilichotokea Kila mtu anamuamini Sasa.
Ni kundi la watu ambao ni intelligent professionals, hawezi kuwa mtu mmoja. Kwa mfano, kompyuta imetengenezwa na wanadamu na kujazwa akili za kibinadamu lakini ina uwezo kuliko mwanadamu mwingine yeyote yule kwa sababu yenyewe katika umoja wake, imebeba ujuzi wa wanadamu wengi. Kwa hiyo hayupo binadamu duniani atakayekuja kutokea na kuizidi akili kompyuta, mpaka siku Yesu anarudiHuyu jamaa anatisha twitter kitambo ubishane nae au kumtisha tayari ana info zako alishatambua kitambo hapa hata Mshana Jr anasaluti kwa huyu jamaa ni noma hafai hata kidogo ndio maana ya kigogo 2014
Mmhhh!!!!,Kwa hiyo hata wewe imekuzidi akili?Ni kundi la watu ambao ni intelligent professionals, hawezi kuwa mtu mmoja. Kwa mfano, kompyuta imetengenezwa na wanadamu na kujazwa akili za kibinadamu lakini ina uwezo kuliko mwanadamu mwingine yeyote yule kwa sababu yenyewe katika umoja wake, imebeba ujuzi wa wanadamu wengi. Kwa hiyo hayupo binadamu duniani atakayekuja kutokea na kuizidi akili kompyuta, mpaka siku Yesu anarudi
Ni kwa sababu huna uelewa wa uwezo wa ubongo wa mwanadam.Ni kundi la watu ambao ni intelligent professionals, hawezi kuwa mtu mmoja. Kwa mfano, kompyuta imetengenezwa na wanadamu na kujazwa akili za kibinadamu lakini ina uwezo kuliko mwanadamu mwingine yeyote yule kwa sababu yenyewe katika umoja wake, imebeba ujuzi wa wanadamu wengi. Kwa hiyo hayupo binadamu duniani atakayekuja kutokea na kuizidi akili kompyuta, mpaka siku Yesu anarudi
Uwezo wa ubongo wa mwanadamu ni kitu kimoja, na uwezo wa mwanadamu kuutumia ubongo huo ni kitu kingine. Kwa mfano, watu wote tunapenda tuwe na maisha mazuri, akili ya kila mtu inapendelea maisha mazuri, lakini si kila mtu anaishi maisha mazuri kama alivyotamanai aishi, kwa nini? Hii inasababishwa na off-set iliyopo kati ya uwezo wa ubongo wa mwanadamu na uwezo wa mwanadamu kuutumia ubongo huo!Ni kwa sababu huna uelewa wa uwezo wa ubongo wa mwanadam.
Wewe unaizidi akili Kompyuta?Mmhhh!!!!,Kwa hiyo hata wewe imekuzidi akili?
Kuna watu huwa wanahisi ni sehemu ya system, yaani hata kwenye Baraza la mawaziri huwa wanahisi yumo.Kigogo View attachment 1200989
π πππππ
NdiyoWewe unaizidi akili Kompyuta?
Basi we haupo TwitterWameshamfungia kwani mnamuona Tena siku hizi?