AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Magazeti ya leo yamemwandika kuwa Kigogo wa NSSF Bwana Crescentius Magori alitakiwa kuwa ni mfano wa kuigwa kwenye utumishi wa Umma lakini hizi habari kuwa amevunja ndoa ya kiongozi mkuu kwenye serikali ya Magufuli zinatia kinyaa na ni kinyume na miiko ya maadili ya watumishi wa Umma.
Nadhani mmeona alivyoandikwa kwenye magazeti ya leo namna alivyofanya ufuska wake kwa akina Hoyce Temu lakini hii ya kuvunja ndoa ya kiongozi wa juu wa serikali ya Magufuli kwa kweli ni rafu ambayo sidhani kama ni mfano mzuri kwa jamii na shirika la hifadhi ya jamii kama NSSF
Huyu huyu magori msisahau kuwa alikuwa mjumbe wa bodi ya TPA ambayo ilitimuliwa na Mheshimiwa Rais Magufuli lakini cha ajabu wakati mwenzake ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alisimamishwa kazi, Mgori alifanya jitihada kupitia waziri wa kazi (Jenista Mhagama), Katibu mkuu wizara ya Kazi (Eric Shitindi) , Waziri wa Mambo ya Ndani (Charles Kitwanga) ku lobby kwa Magufuli asisimamishwe kazi na kweli hakusimamishwa kazi ili kupitisha uchunguzi ufanyike
Huyo ndio Crescentious Magori ambaye anatumia nguvu za zote kuwaendesha mbio mawaziri wa Magufuli mbaya wanafika mahala wanampa taarifa za uwongo. Na kwa bahati nzuri Mheshimiwa Magufuli ukweli anaujua na kawaambia wote hao kuwa yeye hataki porojo na maneno maneno yeye anachotaka ni watu wafanye kazi mwishowe wameamua kumtumia Abdallah Bulembo ambaye naye kafungiwa madirisha na Mtukufu Rais wetu kipenzi cha wananchi Mheshimiwa John Pombe Magufuli
Sasa nipeni muda niwaonyeshe mwongozo na miiko ya utumishi wa Umma unasemaje kuhusu namna wafanyakazi wa serikali wanavyotakiwa kujiweka mbele ya jamii. Na pia tukajua Huyu Magori amekiuka miiko ipi mpaka magazeti yakawa yana mwandika hivi.