singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Muungano feki siku zote huwa haudumu, kwa hili siku za UKAWA zinahesabika kabla ya kusambaratika
Sheria ilimtaka Duni avue u-cuf awe CHADEMA.Kumbuka duni in mwanachama wa cuf Kwa kuwa lowassa in chadema Sheria ilitaka mgombea mwenza lazima nae awe chadema ndio maana duni alitoka cuf akaja chadema.uchaguzi umeisha duni anarudi cuf kosa ni mini?
Huyu Duni Haji alipwe hela zake...,pamoja na maombi ya Ngwajima hakushinda.....kafa kifo cha mende ndembendembe....chaliiiiiiiiii!!...Hivi Ngwajima ndio mchungaji rasmi wa ukawa?...kwa nini viongozi chadema wanaita bia "ukawa"?Ñilipona Gazeti lenyewe nikafunga macho
Duni analalamika kwa chadema kutomlipa hela yake kama mkataba wa uhamisho ulivyo.Kumbuka duni in mwanachama wa cuf Kwa kuwa lowassa in chadema Sheria ilitaka mgombea mwenza lazima nae awe chadema ndio maana duni alitoka cuf akaja chadema.uchaguzi umeisha duni anarudi cuf kosa ni mini?
Mbona unatuchosha na kutuletea ujinga asubuhi asubuhi namna hii? Hivi huwezi kuipima akili yako na za wengine ukaona aibu? Naomba nikuambie, pamoja na uhuru wako wa mawazo lakini elewa kuwa jukwaa hili ni la great thinkers,hivyo kabla ya kuleta kitu wapaswa kufikiri kwanza wewe mwenyewe na kujiridhisha kabla ya kuwapa wengine.
Muungano feki siku zote huwa haudumu, kwa hili siku za UKAWA zinahesabika kabla ya kusambaratika
Sheria ilimtaka Duni avue u-cuf awe CHADEMA.
Kumbuka duni in mwanachama wa cuf Kwa kuwa lowassa in chadema Sheria ilitaka mgombea mwenza lazima nae awe chadema ndio maana duni alitoka cuf akaja chadema.uchaguzi umeisha duni anarudi cuf kosa ni mini?
Kwa hiyo ni dhahiri kuwa chadema na cuf walikula njama, kwa makusudi, ili kuizunguka sheria iliyoundwa ili kuepuka mambo ya namna hiyo!!Duni mbona alikuwa mwanachama wa Cuf .Naona baada ya uchaguzi kuisha kaamua kurudi Cuf . Na bado wataendelea kufanya kazi pamoja .bado sijaona tatizo hapo.
Muungano feki siku zote huwa haudumu, kwa hili siku za UKAWA zinahesabika kabla ya kusambaratika
Wajirekebishe wazungusha mikono na UKAWA yao. Kilichofanyika ni usanii wa kisiasaKwa hiyo ni dhahiri kuwa chadema na cuf walikula njama, kwa makusudi, ili kuizunguka sheria iliyoundwa ili kuepuka mambo ya namna hiyo!!
Kwa post zenu hapo juu ninyi hapo mnakiri wazi kuwa babu duni alifanya show kubwa ya kisanii kuuhadaa umma kuwa kahamia chadema ilhali yeye ni cuf damu.
Usanii huu ulionekana na wachambuzi wa mambo na ni moja ya sababu ya baadhi ya makamanda kumpigia kura mzee wa jipu.
Jirekebisheni. Usanii wa aina hii haulipi.
Msumari wa utosi!Kwa hiyo ni dhahiri kuwa chadema na cuf walikula njama, kwa makusudi, ili kuizunguka sheria iliyoundwa ili kuepuka mambo ya namna hiyo!!
Kwa post zenu hapo juu ninyi hapo mnakiri wazi kuwa babu duni alifanya show kubwa ya kisanii kuuhadaa umma kuwa kahamia chadema ilhali yeye ni cuf damu.
Usanii huu ulionekana na wachambuzi wa mambo na ni moja ya sababu ya baadhi ya makamanda kumpigia kura mzee wa jipu.
Jirekebisheni. Usanii wa aina hii haulipi.
Tilijua hatafika mbali na hilo kundi la matapeli.