kigezo cha referee wa kimataifa

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,879
Reaction score
7,526
naomba mnijuze wakuu kuhusu hili.je ref wa kimataifa anatakiwa ajue lugha zote au vipi nakumbuka kuna mechy ya brazil howard mebb alikua in charge sasa kuna kipindi nilimchek thiago silva akizungumza na webb na silva hajui kingereza hata cha kuombea maji sasa refa wa kimataifa hasa hawa wanaokua incharge kwenye world cup ni lazima wajue lugha zote?
 

i mean zile lugha za kimataifa kama french,spanish,english na kireno
 
Sio lazima kujua lugha zote nadhani moja inaweza kukwalifai eg Eng, french, spanish. Michezo kama ilivyo muziki kuna lugha yake ambayo si lazima muwe mnaelewana a word for a word . Kumbuka katika World Cup kila mtu anakuja na lugha yake na si rahisi waamuzi na wachezaji wote wawe wanazungumza lugha moja, kinachojali ni kuwa wote wanajua sheria za mpira. Refa akipuliza kipyenga wachezaji wanajua refa anamaanisha nini. Mfano mzuri wa lugha ya kimpira angalia hii clip ya Ivory Coast Vs South korea 2010 World Cup, Eboue hajui kikorea lakini alielewa kinachoendelea.
World Cup 2010 Most Shocking Moments 45-Korean Eboue - YouTube
 
Hata Mie niliona Hiyo ya Howard Webb na Silva nikafikiria hivyohivyo sababu walikaa mazungumzo muda mwingi ila nafikiri Silva anaweza Kuwa anajuwa lugha ya kiengereza na Kama hajui itakuwa Kama Rubaman alivyosema watakuwa marefa wanajifunza lugha za kimataifa wapo wachezaji wengi pia nje wanajifunza lugha za kigeni ila hawatokei kuchezea zile ligi za Hiyo lugha Mfano: Zidane wakati yupo Italy kaenda Spain anajuwa kiengereza kuliko Spanish na Cannavaro alikuwa anajuwa kuongea English alijifunza na Lampard anaongea Spanish ila hakupata kucheza La Liga mwengine Xabi Alonso alivyokuja England alikuwa tayari anaongea English ila akasema yeye toka mdogo baba yake alimpeleka English School,ni sawa na utashangaa kuna Marefa Millionea au Wengi tunawachukulia wacheza mpira haijasoma sio Kama Sports za marekani unakuta wengi wanataka Uni mpira wa miguu wapo Players Wana Degree zao Kama Simon Mignolet Ana Degree ya Math na Politics na wapo wengi ukiwaacha wale Degree za kupewa.
 
sawa nimechek ahstante mkuu
 

nimekupata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…