Kigamboni: Unayehitaji Nyumba, Vyumba , Mashamba N.k!!

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Unataka Viwanja ,Mashamba, Nyumba Au Vyumba Vya Kupanga, Fremu Za Biashara, Beach Nk. Ndani Ya Wilaya Mpya Ya Kigamboni?....

Fika Ofisini Tungi Kigamboni Ukutane Na Dalali Wa Uhakika Au kwa Mawasiliano Zaidi Piga/NiWhatsap Namba 0718295182
 
Safi sanaaaa
-Shamba Acre 4 au tatu bei gani
-Shamba Acre 10

Je maeneo yamepimwa na hati zipo?

Mkuu Kwa Sasa Nina Viwanja 2 in 1 Kitunda. Kila Kimoja kina Ukubwa wa 50ft X 50Ft.

Kila Kimoja kinaenda kwa. Bei ya 7Ml. vyote kwa Pamoja kwa Bei ya 13.8Ml.

Pia huko. Ilala Buyuni Chanika kwenye vwanja Vya Mradi Nina plot yenye Sqmtr 1111, kunaenda kwa Bei ya 35Ml.

Barabara hadi kwenye Kiwanja na Umeme huitaji Nguzo. Kiwanja kiko ndani ya Mradi wa Nyumba za PSPF.

Hati Zipo Mkuu Karibu sana!!
 
Jamani naomba kujua hivi hawa madalali wanatambulika kisheria
 
Unataka Viwanja ,Mashamba, Nyumba Au Vyumba Vya Kupanga, Fremu Za Biashara, Beach Nk. Ndani Ya Wilaya Mpya Ya Kigamboni?....

Fika Ofisini Tungi Kigamboni Ukutane Na Dalali Wa Uhakika Au kwa Mawasiliano Zaidi Piga/NiWhatsap Namba 0718295182
Mkuu natafuta nyumba ya kupanga kigamboni iwe na fensi ya kutosha gari mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom